Leo nitakueleza jinsi ya kurecord muziki kupitia simu yako ya Android au IOS.kitu Cha kwanza nenda google play/playstore Search Audiolab, kisha unaiinstall vizuri kabisa.anza kurecord nenda Karaoke record chukua beat husika make sure umechomeka earphone au headphone.utaruhusu kwa kubofya alama ya tick kisha itahesabu mpaka 3 utaanza kuimba na hilo beat.Ukimaliza kuimba utaanza juedit nenda kwenye Voice remover_kisha broadband noise-denoise hadi 100,Kama unataka kuweka mwangwi nenda sounds mastering chagua namba moja kati ya zile options nyingi utazoziona...kwa maelezo zaidi tukutane youtube Dj Maxbeatz TZ na Facebook Mason Fungo au DJ Maxbeatz TZ, Instagram DJ Maxbeatz TZ na twuttTw ni hivyo hivyo.🤳subs subscribe to my YouTube channel
https://m.youtube.com/channel/UCbF9wzkMGsjnNZW0ZAIEtrA
Comments
Post a Comment