Raymond mwakyusa alimaarufu Kama Rayvanny ahaidi kutulia katika ndoa yake.Mpaka Sasa anamtoto mmoja aliyezaa na Fhyma mtoto anaenda kwa jina la Jaydan Vanny.Hivi karibuni ulitokea mgogoro kati yao kisababishi ni video ya I love you ambayo video Vixen wake alikua ni Queen Nana.fhyvanny alichukia baada ya kuona wamecheza Kama mume na mke Reality,na Rayvanny anampost kila siku kwenye page yake...
Subscribe kwenye YouTube channel yangu https://m.youtube.com/UCbF9wzkMGsjnNZW0ZAIEtrA
Comments
Post a Comment