Posts
DJ MIX 2020,DJ MAXBEATZ_Rayvanny_ms bank ,Rema,yemi alade, Tekashi 69, S...
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
Msanii wa kike Lulu diva AKANUSHA UZUSHI wa watu,wamekuwa wakizusha kuwa Lulu diva Ni mama lavalava yaani mchumba wake.Inasemekena maybe alilewa hakujielewa wanapo fanya mambo yao na lavalava mr love bite🤔kaa nasi kwa taarifa Zaidi 🐍 Woman artist known as Lulu diva was rejected a false news from peoples,they has been falsfy to be her is a wife of lavalava.maybe they was do this in unknown situation (alcoholic)
- Get link
- X
- Other Apps
Raymond mwakyusa alimaarufu Kama Rayvanny ahaidi kutulia katika ndoa yake.Mpaka Sasa anamtoto mmoja aliyezaa na Fhyma mtoto anaenda kwa jina la Jaydan Vanny.Hivi karibuni ulitokea mgogoro kati yao kisababishi ni video ya I love you ambayo video Vixen wake alikua ni Queen Nana.fhyvanny alichukia baada ya kuona wamecheza Kama mume na mke Reality,na Rayvanny anampost kila siku kwenye page yake... Subscribe kwenye YouTube channel yangu https://m.youtube.com/UCbF9wzkMGsjnNZW0ZAIEtrA